Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Je redio za kijamii bado zina nafasi?

Je redio za kijamii bado zina nafasi?

Pakua

Radio za kijamii zina mchango mkubwa katika kumuendeleza mwanamke wa kijijini. Hiyo ni moja ya kauli zilizotanabaishwa wakati wa mkutano wa 62 wa Kamisheni ya hali ya wanawake duniani, CSW uliomalizika hivi karibuni jijini New York, Marekani. 

Miongoni mwa washiriki wa mkutano huo ni Marceline Nyambala,  Mkurugenzi Mkuu wa shirika la waandishi habari wa kike nchini Kenya, AMWIK,  ambaye ameelezea umuhimu wa redio za jamii wakati huu wa mitandao ya kijamii.

(Sauti ya Marceline Nyambala)

Katika mkutano huo washiriki walizungumzia pia changamoto ya radio hizo za jamii na jinsi ya kuzitafutia suluhisho kama anavyoelezea Nyambala.

 (Sauti ya Marceline Nyambala)

 

Audio Credit
Selina Jerobon
Audio Duration
1'53"
Photo Credit
UN News/Selina Jerobon