Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Vijana na SDGs-Teknolojia ndio muarobaini

Vijana na SDGs-Teknolojia ndio muarobaini

Pakua

Vijana walioshiriki mkutano wa kuchukua hatua za kimataifa ili  kufanikisha malengo ya maendeleo endelevu SDGs wamezungumzia umuhimu wa ushiriki wao katika kuchagiza mafanikio ya ajenda hiyo ya 2030. 

Mkutano huo umefanyika Bonn nchini Ujerumani ambapo miongoni mwa washiriki ni Hugh Araya mwanafunzi kutoka Kenya anayesomea shahada ya uzamili nchini Ujerumani akijikita katika biashara ya kimataifa. Akihojiwa kando ya mkutano huo amesema..

(Sauti ya Hugh Araya)

Kijana huyo ambaye alikuwa anajitolea kwenye mkutano huo wa SDGs akazungumzia pia umuhimu wa teknolojia katika kufanikisha ajenda 2030.

(Sauti ya Hugh Araya)

Audio Credit
Assumpta Massoi
Audio Duration
1'43"
Photo Credit
SDG Action Campaign