Maji ni suala la uhai au mauti:Guterres
Pakua
Suala la rasilimali ya maji ni la uhai au mauti na si suala la kulifanyia lele mama. Dunia lazima ishikamane kudhibiti matumizi ya rasilimali hii ili kupunguza uhaba wake amesema Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa antonio Guterres leo, ikiwa ni siku ya maji duniani.
Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
1'46"