Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ili nusuru Warohingya dola zaidi ya milioni 900 zahitajika:UN

Ili nusuru Warohingya dola zaidi ya milioni 900 zahitajika:UN

Pakua

Zahma ya wakimbizi wa Rohinya ikiendelea, dola zaidi ya milioni 900 zahitajika kukidhi mahitaji yao ya msingi hasa wakimbizi walioko Bangladesh na jamii zinazowahifadhi. Yamesema leo mashirika ya Umoja wa Mataifa wakati yakizindua ombi la msaada wa fedha hizo mjini Geneva Uswis.

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
2'16"
Photo Credit
Olivia Headon/IOM