Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wasichana tukipewa fursa tunaweza:Helga

Wasichana tukipewa fursa tunaweza:Helga

Pakua

Misichana akipewa fursa anaweza na mchango wake utakuwa mkubwa sio tu katika maisha yake binafsi , bali pia katika mustakhbali wa jamii atokako.

Hayo yamesemwa na binti Helga Mutasingwa kutoka nchini Tanzania anayehudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa wa kamisheni ya hali ya wanawake duniani CSW62 unaoendelea mjini New york Marekani.

Akiwakilisha jumuiya ya Girl guides duniani na Tanzania , amemweleza Flora Nducha wa idhaa hii ujumbe aliouleta kwenye mkutano huu.

 

Audio Credit
Flora Nducha
Audio Duration
3'30"
Photo Credit
UN News/Assumpta Massoi