Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nchi za Afrika zenye vita zaweza kujifunza toka Liberia

Nchi za Afrika zenye vita zaweza kujifunza toka Liberia

Pakua

Penye nia pana njia, na kauli hiyo iliwafanya Waliberia kushikamana na kusema sasa vita basi. Wakafanya uchaguzi wa kidemokrasia na hadi sasa wanalia kivulini matunda ya amani waliyochumia juani. Nchi za Afrikazilizo vitani zifuate nyayo. huu ni wito wa Jenerali mstaafu Daniel Opande kutoka Kenya.

Audio Credit
Zipporah Musau
Audio Duration
3'5"
Photo Credit
Walinda amani nchini Liberia. Picha ya UNMIL/Staton Winter