Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Teknolojia ya mtandao yatoa ajira kwa vijana Afrika

Teknolojia ya mtandao yatoa ajira kwa vijana Afrika

Pakua

Ukuaji wa teknolojia ya matandao  leo hii unatoa fursa kubwa ya ajira kwa vijana endapo wataamua kujituma na kuzitumia fursa hiyo vilivyo.

Mfano mzuri ni nchini Ghana ambako vijana wanatumia teknolojia ya mtandao kwa kutengeneza mavazi ya asili maarufu kama  Kente na kuyauza kupitia mtandao baada ya kupata mafunzo ya kibiashara kutoka kwenye taasisi ya maendeleo nchini humo inayotoa mafunzo ya kibiashara. Kwa undani wa makala hiyo unagana na mwandishi wetu Siraji Kalyango.

Audio Credit
Patrick newman/ Siraji Kalyango
Audio Duration
3'24"
Photo Credit
Vijana nchiini Tanzania.(Picha:UNDP/Tanzania/facebook)