Mahojiano na mbunge wa Kenya kuhusu uhamiaji
Pakua
Wabunge kutoka nchi mbalimbali duniani wakiwa makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York Marekani kubadilisha mawazo ya jinsi ya kukabiliana na suala mtambuka la uhamiaji.
Miongoni mwa wabunge wanaoishiriki ni mbunge wa jimbo la Kiambu Kenya Jude Njomo.Katika mazungumzo na mwanahabari wa UN Siraj Kalyango amezungumzia masuala mbalimbali kuhusu uhamiaji akianza na kwanini watu wanahama kutoka mataifa yao mama.
Audio Credit
Siraj kalyango
Audio Duration
3'53"