Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Brazili iwe mfano wa kuwaenzi wakimbizi:Grandi

Brazili iwe mfano wa kuwaenzi wakimbizi:Grandi

Pakua

Kamishina mkuu wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi UNHCR, Filipo Grandi amekutana na wawakilishi wa nchi 36 za Amerika ya kusini na  visiwa vya karibea nchini Brazil, katika mkutano wa kimataifa kuhusu ulinzi wa wakimbizi  ili kujadili  maswala nyeti yanayowababili wakimbizi katika ukanda huo.

Audio Credit
Patrick Newman
Audio Duration
2'4"
Photo Credit
Kamishna Mkuu wa UNHCR, Fillipo Grandi .(Picha:UM/Evan Schneider)