Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Kujifungua kunatofautiana kwa kila mama na huduma iwe hivyo:WHO

Kujifungua kunatofautiana kwa kila mama na huduma iwe hivyo:WHO

Pakua

Shirika la afya ulimwenguni WHO limetoa mwogozo mpya wa huduma wakati wa kujifungua kina mama. Muongozo huo unasisitiza matumizi ya dawa za kuongeza kasi ya uchungu, kumzalisha mama kwa upasuaji au kumpa dawa za kupunguza maumivu ya uchungu vitumike tu inapohitajika, ili mama awe na fursa ya kuchagua kujifungua kawaida.

Audio Duration
1'44"
Photo Credit
Kinamama na watoto wachanga katika hosptali ya Nyarugusu nchini Tanzania. Picha: UNHCR/Video capture