Dansi ya kitamaduni yaenziwa Uganda
Pakua
Wakati shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu Sayansi na Utamaduni (UNESCO), linapigia chepuo utunzaji na ukuzaji wa utamaduni, mjini Hoima nchini Uganda, waimbaji wa kitamaduni waliandaa tamasha la muziki kandoni mwa tamasha za muziki wa kisasa.
Je, lilishindana? Basi ungana na John Kibego katika makala ifuatayo...