Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la wiki - Ndongosa

Neno la wiki - Ndongosa

Pakua

Wiki hii tunaangazia neno "Ndongosa" na mchambuzi wetu ni Onni Sigalla, Mhariri Mwandamizi, katika Baraza la Kiswahili la Taifa, BAKITA, nchini Tanzania.

Bwana Sigalla anasema neno “Ndongosa” ni ng'ombe wa kike ambaye anatoka kwenye hali ya undama kuingia ukubwa lakini bado hajapandwa.

Photo Credit
Neno la wiki - Ndongosa