Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Neno la Wiki: Halisi, Uhalisi, Uhalisia

Neno la Wiki: Halisi, Uhalisi, Uhalisia

Pakua

Katika neno la wiki hii leo tunaangazia maneno "Halisi", “Uhalisi” na "Uhalisia".  Mchambuzi wetu  ni Nuhu Zuberi Bakari, ambaye ni Naibu Mwenyekiti wa masuala ya mawasiliano kwenye Chama cha  Kiswahili cha Taifa nchini Kenya, CHAKITA.

Ungana naye upate matumizi sahihi ya maneno hayo, ambayo hutumiwa ndivyo sivyo…

Audio Credit
Nuhu Zuberi Bakari, kutoka CHAKITA.
Audio Duration
1'11"
Photo Credit
Neno la wiki_halisi_uhalisi_uhalisia