Jarida la Umoja wa Mataifa na Flora Nducha

24 Januari 2018

Katika Jarida la Umoja wa Mataifa hii leo tunaanzia huko DR Congo, ukiukwaji wa haki za binadamu wafurutu ada.

Nchini Uganda, milipuko ya homa ya Kongo na Bonde la Ufa yarejea.

Katika makala, vijana wa kiume wasema kazi ni kazi bora mkono uende kinywani. Utakutana na mwanamitindo kutoka Burundi.

 

Audio Credit:
Flora Nducha
Audio Duration:
11'32"

 

♦ Tafadhali iwapo unataka kupokea taarifa kutoka UN News Kiswahili kila wakati zinapochapishwa jisajili  hapa.
♦ Pia unaweza kupakua apu ili kusikiliza matangazo yetu wakati wowote popote ulipo.
♦ Tembelea pia chaneli yetu ya Youtube na pia Soundcloud