Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Njombe wafurahia usaidizi wa UN

Njombe wafurahia usaidizi wa UN

Pakua

Shirika la Umoja wa Mataifa la mpango wa maendeleo, UNDP Tanzania kwa kushirikiana na Benki ya Dunia na wadau wengine wa maendeleo kutoka Uingereza, Marekani na Sweden  na serikali ya Tanzania linajitahidid kutekeleza mpango wa kunusuru kaya masikini (PSSN) kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF), ambao kwa sasa umefikia takriban kaya milioni 1.1 wenye umasikini uliokithiri nchini humo...

Vijiji vya Ibumila na Itunduma mkoani Njombe nchini Tanzania ni baadhi ya vijiji ambavyo vimenufaika kutokana na mpango huo. Je wananchi wansemaje? Selina Jerobon anaelezea zaidi katika Makala ifuatayo….

Sauti
3'31"
Photo Credit
Wanautamaduni wa kijiji cha Itunduma mkoani Njome nchini Tanzania. Picha: UNDP Video capture