Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Japo ugumu wa maisha binti lazima aende shule : Samira

Japo ugumu wa maisha binti lazima aende shule : Samira

Pakua

Lengo namba 4 la ajenda ya maendeleo andelevu ya Umoja wa Mataifa, linaangazia elimu bora kwa wote. Mashirika ya Umoja wa Mataifa kwa kushirikiana na serikali mbalimbali duniani  yamekuwa  mstari wa mbele kuhamasha jamii hasa wazazi wahakikishe  watoto wote bila kubagua jinsia wanapata elimu .

Katika makala ya leo tunaelekea nchini Somalia ambako tunakutana na Bi. Samira ambaye  licha ya yeye kutosomeshwa na baba yake kwa kigezo kwamba yeye ni mtoto wa kike, ameamua kwa nguvu zote kumsomesha binti yake ili aweze kujitegemea katika siku za usoni. Nini kilichotokea kwa  Samira baada ya mume wake kufariki ? ungana basi na Patrick newman katika makala hii….. barabara hiyo.

Photo Credit
Bi. Samira ambaye licha ya yeye kutosomeshwa na baba yake kwa kigezo kwamba yeye ni mtoto wa kike, ameamua kwa nguvu zote kumsomesha binti yake. Picha: UM/Video capture