Uharibifu wa vyanzo vya maji unachangia katika uhaba wa maji Kagera, Tanzania

Uharibifu wa vyanzo vya maji unachangia katika uhaba wa maji Kagera, Tanzania

Pakua

Wakati nchi zikiendelea kuhimizwa kulinda mazingira ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi, nchi na jamii zinajizatiti kuchukua hatua ili kuhakikisha jamii inatambua jukumu lake katika kulinda mazingira.

Kwa mantiki hiyo huko nchini Tanzania hususan katika mkoa wa Kagera wilaya ya Karagwe ambako kunashuhudiwa changamoto ya upatikanaji wa maji wa mara kwa mara Tumaini Anathory wa radio washirika Karagwe FM amezungumza na Proccesius Rweyendera Afisa mazingira Wilaya ya Karagwe mkoani humo kuhusu jitihada za kunusuru vyanzo vya maji wilayani humo.

Photo Credit
Wamama wanpiga foleni kutega maji kutoka kwa bomba. Picha: UNICEF Tanzania