Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Tutaangalia mitaala yetu ili isaidia kukabili mabadiliko ya tabianchi- Balozi Mulamula

Tutaangalia mitaala yetu ili isaidia kukabili mabadiliko ya tabianchi- Balozi Mulamula

Pakua

Mabadiliko ya tabianchi na athari zake kijamii ilikuwa ni moja ya mada wakati wa wiki ya Afrika iliyotamatishwa hivi karibuni kwenye makao makuu ya Umoja wa Mataifa. Mathalani washiriki waliangazia siyo tu mabadiliko hayo yanavyoatishia amani na usalama bali pia mwenendo wa uhamaji hususan wakulima na wafugaji.

Miongoni mwa wazungumza wakuu wakati wa wiki hiyo alikuwa Balozi Liberata Mulamula, mkuu wa Idara ya masomo ya Afrika kwenye Chuo Kikuu cha George Washington nchini Marekani ambaye amezungumza na Assumpta Massoi wa Idhaa hii na kuelezea kile ambacho amejifunza baada ya kushiriki mkutano huo.

Photo Credit
Balozi Liberata Mulamula, mkuu wa Idara ya masomo ya Afrika kwenye Chuo Kikuu cha George Washington nchini Marekani akihojiwa na Assumpta Massoi.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/J.Msami)