Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Nilikuwa muathirika wa FGM lakini sasa mimi ni mshindi- Inna Modja

Nilikuwa muathirika wa FGM lakini sasa mimi ni mshindi- Inna Modja

Pakua

Ukatili wa aina yeyote dhidi ya wanawake na wasichana hauna nafasi katika dunia hivi sasa kwani unakwamisha mendeleo. Yaelezwa kuwa ili kukabiliana na ukatili huo ni lazima kufahamu sura ambazo unachukua ili kuweza kukabiliana nao.

Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala hii ambapo mwanamuziki Inna Modja kutoka Mali anatuma ujumbe kutumia muziki akisema kwamba yeye binafsi aliwahi kuwa muathirkia wa ukatili dhidi ya wanawake.

Photo Credit
Balozi mwema wa UNFPA Inna Modja, ambaye ni mwanamuziki kutoka Mali katika mkutano wa ngazi ya juu wa kupinga ukatili dhidi ya wanawake na wasichana. Picha: