Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukosefu wa usalama unatukwaza vijana DRC- Sehemu ya pili

Ukosefu wa usalama unatukwaza vijana DRC- Sehemu ya pili

Pakua

Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ghasia hususan mashariki mwa nchi hiyo zimesababisha maelfu ya watu kusaka hifadhi nchi jirani. Maisha ugenini ni ya kuwezesha mkono kwenda kinywani lakini mawazo ni kurejea nyumbani. Miongoni mwa raia waliokimbia ni Kiiza Serugendo Elwa kutoka mji wa Kiwanja, Jimboni Kivu ya Kaskazini . Sasa Kiiza ni mchuuzi huko Uganda na katika sehemu hii ya pili akihojiwa na John Kibego wa Idhaa hii anazungumzia jinsi zaidi chnagamoto ya usalama DRC inavyokwaza ujasiriamali.

Photo Credit
UN News Center