Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Fursa na vikwazo katika juhudi za vijana kujikwamua nchini DRC 1

Fursa na vikwazo katika juhudi za vijana kujikwamua nchini DRC 1

Pakua

Katika mfululizo wa makala zinazomulika juhudi za vijana katika kujikwamua kiuchumi, tunakupeleka Afrika Mashariki kusikiliza mahojiano na  kijana mjasiriamali Kiiza Serugendo Elwa kutoka mji wa Kiwanja, Jimboni Kivu ya Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, DRC.

Ungana na John Kibego katika sehemu hii ya kwanza ya mahojiano na kijana huyu ambaye kwa sasa yuko nchini Uganda.

(MAHOJIANO)

Kaa chonjo kusikiliza sehemu ya pili ya makala haya juma lijalo.

Photo Credit
Kijana mfanyakazi wa kujitolea nchini DRC. Picha: UM/Sylvain Liechti (maktaba)