Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wakimbizi wachangia uchumi licha ya changamoto

Wakimbizi wachangia uchumi licha ya changamoto

Pakua

"Africa Shares" ni jukwaa la kimataifa la kutambua michango ya wakimbizi katika uchumi wa nchi zinazowahifadhi. Shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia wakimbizi, UNHCR tayari limetambua juhudi za wakimbizi katika nchi saba barani Afrika zikiwemo Kenya, Burkina Faso, Ethiopia, Rwanda, Zimbabwe, Malawi na Niger. Wakimbizi hawa walihudhuria mkutano wa Africa Shares,yaliyofanyika mjini Geneva Uswisi tarehe 14-16 Machi mwaka huu, kuonyesha bidhaa zao. Katika makala ifuatayo, Selina Jerobon anaangazia wakimbizi wa Mali ambao wamesaka hifadhi nchini Burkina Farso. Je ni nini wanafanya? Na ndoto yao kuu ni ipi? Basi ungana naye kwa undani zaidi...

Photo Credit
Wakimbizi wajasiriamali wa Mali walioko nchini Burkina Farso. Picha: UNHCR/Video capture