Changamoto kubwa kwa wajane ni kusomesha

Changamoto kubwa kwa wajane ni kusomesha

Pakua

Miongoni  mwa changamoto zinazowakabili wajane ni elimu kwa watoto, amesema mjane Elizabeth Mputa, mkazi wa Pangani, Tanga Tanzania.

Mjane huyo mwenye umri wa miaka 42 amemweleza Maajabu Ally wa redio washirika Pangani Fm, mkoani hapo,  mikasa aliyokumbana nayo baada ya mmewe kufariki ikiwemo kushitakiwa kutokana na madeni. Ungana naye katika mahojiano.

Photo Credit
Mmoja wa wamama wajane kutoka Tanzania.(Picha:Idhaa ya Kiswahili/N.Ngaiza)