Uhifadhi wa kompyuta au simu wachangia uhifadhi wa mazingira Burundi
Pakua
Kawaida likija swala la kuhifadhi mazingira , katika nchi zinazoendelea watu hufikiria haraka swala la mabadiliko ya tabia nchi na uchafuzi wa hewa ikiwemo uhifadhi wa miti , mito na kadhalika. lakini je unajua kuwa uhifadhi wa komputa au simu ni moja ya mikakati ya kuhifadhi vyema mazingira? Nchini Burundi , sehemu nyingi na ofisini hamna utaratibu wa kuhifadhi komputa na simu za mikononi au rununu, na hivyo hali hiyo kuonekena kama ni kitisho kikubwa cha mazingira na afya.
Mwandishi wetu Ramadhani Kibuga amefuatilia uhifadhi wa takenloljai hizo na manufaa take katika kuhifadhi mazingira nchni Burundi. Ungana naye katika makala ifuatayo.