Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Makala ya wiki: Ugonjwa wa Fistula

Makala ya wiki: Ugonjwa wa Fistula

Pakua

Fistula!  Ugonjwa unaoathiri wanawake takriban milioni mbili katika nchi zinazoendelea, wanawake ambao huteseka wakijificha kwa aibu na kunyanyapaliwa. Katika maadhimisho ya Siku ya Kukomesha Fistula Duniani, yenye maudhui ya “Matumaini, Uponyaji, na Heshima kwa Wote”, Shirika la Idadi ya Watu, UNFPA limetoa wito wa kutambua haki za msingi za binadamu kwa waathirika ambao idadi yao kubwa ni masikini, kwani ugonjwa huu ni rahisi kutibika, na umetokomezwa katika mataifa yaliyoendelea.

Je chanzo cha ugonjwa huu kinaanzia wapi?. Ungana na Assumpta Massoi katika Makala hii ya wiki…

Photo Credit