Tuwekeze katika usafi kutokomeza magonjwa ya kitropiki

Tuwekeze katika usafi kutokomeza magonjwa ya kitropiki

Pakua

Mkutano wa pili wa wadau wa kimataifa ulioandaliwa na Shirika la Afya Duniani, WHO kuhusu magonjwa ya kitropiki yaliyosahaulika unaendelea jijini Geneva, Uswisi kwa lengo la kujadili mikakati thabiti katika kukabiliana na magonjwa haya.

Katika mahojiano na Redio ya Umoja wa Mataifa wakati wa mkutano huo, Dr. Sultan Matendechero, Mkuu wa Magonjwa ya Kitropiki nchini Kenya amesema magonjwa haya yanaambatana na ukosefu wa maji, ukosefu wa mazingira safi na usafi wa mwili na uwekezaji katika kitengo kinachoshughulikia usafi ndio suluhu pekee ya kuutokomeza ugonjwa huu.

Amesema kile ambacho kitasaidia bara la Afrika ni...

(Dr. Sultan)

Photo Credit
Dr. Sultan Matendechero, Mkuu wa Magonjwa ya Kitropiki nchini Kenya. Picha: Video Capture