Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Sudan Kusini yasisitiza elimu kwa wasichana

Sudan Kusini yasisitiza elimu kwa wasichana

Pakua

Dunia hivi karibuni imeadhimisha siku ya mtoto wa kike kwa kujadili maslahi ya kundi hilo na ustawi wake kwa ajili ya mustakabali wa maendeleo.

Nchini Sudan Kusini, licha ya taifa hilo kutumbukia katika machafuko, siku hii imeadhimishwa na kusisitiza umuhimu wa elimu kwa atoto wa kike. Ungana na Rosemary Musumba katika makala itakayofafanulia kwa undani.

Photo Credit
Maadhimisho ya siku ya mtoto wa kike nchini Sudan Kusini.(Picha:UNifeed/video capture)