Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Msumbiji imeunda kikosi kazi kuhakikisha malengo ya SDG’s hayambakizi yeyote:Rais Nyusi

Msumbiji imeunda kikosi kazi kuhakikisha malengo ya SDG’s hayambakizi yeyote:Rais Nyusi

Pakua

Serikali ya Msumbiji imesema imeweka mkakati maalumu kuhakikisha malengo ya maendeleo endelevu yaani SDG’s yanatimizwa ifikapo mwaka 2030. Akizungumza na idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa Rais Fellipe Nyusi wa nchi hiyo amesema mkakati huo ni pamoja na kuundwa kwa kikosi kazi maalumu..

(Sauti ya  Rais Nyusi - NYUSI CUT 1)

Ameongeza kuwa tahimini ya hatua wanazopiga inafanyika kila mwaka hadi ukomo wa muhula wake madarakani..

(Sauti ya  Rais Nyusi - NYUSI CUT 2)

Photo Credit
Rais wa Msumbiji Fellipe Nyusi. Picha: UM/Video capture