Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Elimu jumuishi yakwamua watoto Burundi

Elimu jumuishi yakwamua watoto Burundi

Pakua

Watu wenye ulemavu ni kundi lililo hatarini zaidi kubaguliwa katika nyanja mbali mbali kama elimu, afya na huduma za kijamii kwa ujumla, Moja ya malengo ya maendeleo endelevu, SDGs ni kuhakisha maslahi ya watu walemavu yanazingatiwa kwa kuwajumusha katika masuala yanayowahusu zaidi. Moja ya mambo yanayopigiwa chepuo ni elimu jumuishi kwa watu walemavu na mwenzetu Ramadhan Kibuga anatupeleka Burundi katika makala ifuatayo kufahamu zaidi..

Photo Credit
Mashine ya nukta nundu inayotumiwa na watu wenye ulemavu wa kutoona. (Picha:UN/ UN/Evan Schneider)