Wakimbizi wafunzwa stadi za kazi Uganda
Pakua
Nchini Uganda licha ya usaidizi wa mahitaji ya kimsingi ya wakimbizi kama vile malazi na chakula , wakimbizi hao wanapewa stadi za kazi ili kuwawezesha kujikumu. Ungana na John Kibego katika makala inayoeleza kwa undani kuhusu wakimbizi hamsini na tatu wanaopata mafunzo ya kiufundi katika taaluma mbali mbali zikiwemo ufugaji na ufundi umeme.
(MAKALA NA JOHN KIBEGO)