Neno la wiki-Elfu mia moja au Laki moja?
Pakua
Mchambuzi wetu leo ni Nuhu Zuberi Bakari, Naibu mwenyekiti wa maswala ya mawasiliano kwenye Chama cha Kiswahili cha Taifa nchini Kenya CHAKITA. na anaagazia maneno elfu mia moja na laki moja ambapo anasema matumizi ya neno laki moja linatumika sana nchini Tanzania huku akisema ni kwa sababu ya wepesi wa matamshi lakini neno elfu mia moja linatumika sana nchini Kenya. Kwa upande wake maneo yote yanaelezea kitu kile kile.