Neno la Wiki-Kipakatalishi
Pakua
Mchambuaji wetu leo ni Nuhu Zuberi Bakari, Naibu mwenyekiti wa maswala ya mawasiliano kwenye Chama cha Kiswahili cha Taifa nchini Kenya CHAKITA. na anatufafanulia maana ya neno Kipakatalishi, neno ambalo anasema yeye amelitunga na likakubalika Afrika ya Mashariki na Kati.
Neno Kipakatalishi kinamaanisha Laptop ambacho ni chombo kinachotumia vitarakilishi, kwa sababu inatumia tarakimu na maandishi na pia hupakatwa.