Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

#WHS: Wanawake wapewe kipaumbele katika kushughukilia masuala ya kibinadamu

#WHS: Wanawake wapewe kipaumbele katika kushughukilia masuala ya kibinadamu

Pakua

Kila kunapozuka dharura katika jamii waathirika wakubwa ni wanawake ingawa jamii nzima inaathirika. Hivyo wito umetolewa wa kuwapa kipaumbele wanawake hasa zahma za kijamii zinapotokea.

Wito huo umetolewa na mwakilishi wa vijana wa shirika la Umoja wa mataifa la kuhudumia watoto UNICEF nchini Kenya Hanna Wanja Maina akiwa mjini Istanbul Uturiki wakati wa hitimisho la mkutano wa dunia wa masuala ya kibinadamu alipozungumza na Radio ya Umoja wa mataifa

(HANNA 1).

Hanna anaeleza pia nini amejifunza kwenye kongamano hilo la kimataifa

(HANNA 2)

Na kwa wale ambao hawakuweza kufika kwenye mkutano huo wa dunia Hanna anawaambia nini?

(HANNA 3)

Photo Credit
Hanna Wanja Maina.(Picha:Idhaa ya kiswahili/Hanna Maina)