Skip to main content

Wadau wahaha kutoa elimu kwa watoto wakimbizi Uganda

Wadau wahaha kutoa elimu kwa watoto wakimbizi Uganda

Pakua

Nchini Uganda wadau wanahaha kutoa  elimu kwa watoto wakimbizi ambao wamekosa fursa hiyo.

John Kibego kutoka Hoima anasimulia katika makala kile kinachofanyika ili kujenga jamii endelevu licha ya mazingira magumu. Ungana naye

Photo Credit
Watoto wakikaribisha wageni katika kambi ya wakimbizi wa ndani ya Kakopo. Picha:John Kibego