Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Askari MONUSCO wasaidia raia DRC

Askari MONUSCO wasaidia raia DRC

Pakua

Askari wa kulinda amani wa ujumbe wa  Umoja wa Mataifa  nchini Jamhuri ya Kidemkorasia ya Congo DRC MONUSCO kimetoa misaada kadhaa kwa jamii nchini humo.

Misaada hiyo katika sekta ya elimu na kwa wakimbizi imepokelewa kwa bashasha na wakazi nchini humo kama anavyosimulia Joseph Msami. Ungana naye.

Photo Credit
Picha:VideoCapture