Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mtalaamu wa UM kuhusu ukatili wa kingono azuru CAR

Mtalaamu wa UM kuhusu ukatili wa kingono azuru CAR

Pakua

Mratibu Maalum kuhusu kuimarisha jinsi Umoja wa Mataifa unakabiliana na unyanyasaji wa kingono, Jane Holl Lute, ametembelea wiki hii Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa ziara ya siku tano kwa ajili ya kusisitizia msimamo wa Umoja wa Mataifa dhidi ya janga hili na kukutana na wadau mbali mbali.

Akiwa mjini Bambari, amepata fursa ya kujadiliana na walinda amani na kuwakumbusha wajibu wao.

Kulikoni ?

Ungana na Flora Nducha kweney makala hii

Photo Credit
Jane Holl Lute,akiwa ziarani CAR.(Picha:UNifeed/video capture)