Watu wenye ulemavu mashinani kuhudumiwa Tanzania

Watu wenye ulemavu mashinani kuhudumiwa Tanzania

Pakua

Wananchi mkoani Kagera nchini Tanzania watanufaika na huduma zitolewazo kwa watu wenye  ulemavu baad ya ya kituo cha  kuhudumia makundi hayo  wilayani Karagwe kuanza kufanya kazi.

Kwa undani wa Makala hii ungana na Tumaini Anatory wa redio washirika redio Karagwe Fm ya Kagera Tanzania.

Photo Credit
Mmoja wa wanufaika katika kituo hicho.(Picha:Idhaa ya kiswahli/Tumaini Anatory)