Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Wanawake watakiwa kunyonyesha bila hofu ya kupoteza muonekano

Wanawake watakiwa kunyonyesha bila hofu ya kupoteza muonekano

Pakua

Wiki ya kimataifa ya kunyonyesha watoto ikielekea ukingoni, nchini Tanzania wanawake wametakiwa kuepuka mawazo mgando ya kwamba unyonyeshaji waweza kusababisha kupoteza mwonekano wa matiti.

Hiyo ni miongoni mwa yale yanayojitokeza katika makala ya Humprey Mgonja wa redio washirika redio SAUT ya Mwanza Tanzania anayeangazia umuhimu wa wiki hii jijini humo. Ungana naye

Photo Credit
Mama na mwanawe.(Picha ya UNICEF Kenya)