Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Bila redio hatuwezi kujua hali ya bahari kama upepo: Wavuvi

Bila redio hatuwezi kujua hali ya bahari kama upepo: Wavuvi

Pakua

Redio  ni muhimu kwetu  kwa kuwa inatusaidia kufahamu mabadiliko ya  hali ya hewa na hivyo tuanafanya maamuzi baada ya kusikiliza.  Ni sauti za wavuvi mkoani Tanga nchini Tanzania  ambao wamezungumza katika makala inayoanganzia umuhimu wa radio kwa kundi hilo.

Kwa undani wa Makala hii ungana na Mohammed Hammie wa radio washirika Panganai Fm ya Tanga.

Photo Credit
Picha kutoka video ya mradi wa Smart Fish / FAO