Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Serikali zisituwakilishe , tunahitaji watu wetu kutoka mashinani: Watu asilia

Serikali zisituwakilishe , tunahitaji watu wetu kutoka mashinani: Watu asilia

Pakua

Wakati mkutano wa jukwaa la  wataalamu wa jamii za watu wa asili ukimalizika katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa  mjini  mjini New York, jamii hizo zinasema kuwa ni dhahiri hazina uwakilishi wa kutosha na mara nyingi erikali za nchi wanakotoka zimekuwa zikiwawakilisha kinyume na matwaka yao.Katika mahojiano maalum na Joseph Msami wa idhaa hii mwakilishi wa kundi la wamasai kutoka nchini Kenya ambaye pia anawakilisha taasisi ya ulinzi kwa wasichana ,  ”Keep Girls safe Foundation”  Sein Lengeju anasema licha ya kwamba wmekuwa wakipaza sauti lakini kukosekana kwa uwakilishi thabiti ni kikwazo.

Kwanza anaaza kuelezea nini hasa ujumbe wa jamii asilia katika mkutano huo

Photo Credit
mwakilishi wa kundi la wamasai kutoka nchini Kenya ambaye pia anawakilisha taasisi ya ulinzi kwa wasichana , ”Keep Girls safe Foundation” Sein Lengeju.(Picha ya UM/Idhaa ya kiswahili)