Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Utumwa mamboleo bado ni kikwazo

Utumwa mamboleo bado ni kikwazo

Pakua

Wiki hii katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa kumezinduliwa muongo wa watu wenye asili ya bara la Afrika. Muongo huo unaoanza mwaka 2015 hadi 2024 unalenga kutoa fursa ya mtazamo mpya wa jamii hiyo ambayo imeenea maeneo mbali mbali duniani kuanzia barani Ulaya, Amerika hadi Asia. Je nini kilifanyika wakati wa uzinduzi huo? Ungana na shuhuda wetu Abdullah Boru.

Photo Credit
Ngoma za asili ya bara la Afrika hutumbuiza kwenye tukio. (Picha:Rick Barjonas)