Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ukataji wa miti watishia uoto wa asili DRC

Ukataji wa miti watishia uoto wa asili DRC

Pakua

Wakati malengo ya maendeleo ya milenia yakifikia ukomo mwaka 2015, lengo namba saba ambalo ni utunzaji wa mazingira linakumbana na changamoto nyingi ikiwamo ukataji hovyo wa miti. Nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo , DRC, tabia ya kukata miti hovyo inakwamisha kampeni ya kuhifadhi misitu na uoto wa asili.

Je maeneo yapo yako hatarini? Ungana na Langi Asumani wa radio washirika Radio Umoja iliyoko jimbo la Kivu Kusini huko DRC katika makala ifuatayo.

Photo Credit
World Bank/Curt Carnemark