Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ujangili unatokomeza hifadhi na urithi wa dunia: UNESCO

Ujangili unatokomeza hifadhi na urithi wa dunia: UNESCO

Pakua

Ujangili au kama unavyofahamika kuwa ni uwindaji haramu hugarimu maeneo ya urithi wa dunia kwa namna nyingi ikiwamo kuathiri watalii wanaotarajiwa kutembelea maoni hayo pamoja na kuyaweka maeneo hayo katika hatari ya kuwa maeneo yaliyoko hatarini kuondolewa katika hadhi hiyo limesema shirika la Umoja wa Mataifa la elimu sayaynsi na utamaduni UNESCO

Akihojiwa na Joseph Msami wa idhaa ya Kiswahili ya radio ya Umoja wa Mataifa afiisa kutoka tume ya UNESCO, nchini Tanzania Eric Kajiru amesema shirika hilo linachukua hatua madhubuti kudhibiti hali hiyo.

Hapa anaanza kwa kueleza namna ujangili unavyoathiri hifadhi na urithi wa dunia akitolea mfano wa Tanzania.

(SAUTI MAHOJIANO)

Photo Credit
Darren Potgieter/CITES/UNEP