Samoa yafufua matumaini ya mapambano ya kukabiliana na tabianchi
Pakua
Wakati mkutano wa nchi za visiwa vidogo zinazoaendelea(SIDS) ukiwa umekamilika, mkutano ambao uliangazia athari za mabadiliko ya tabianchi, Samoa nchi ambayo ilikuwa mwenyeji wa mkutano huo, imefungua ukurasa mpya.
Makala ifuatayo inaelezea hatua thabiti zilizoanza kuchukuliwa nchini humo, katika kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Ungana na Joseph Msami kwenye makala…