Juhudi za kukabiliana na Alshabaab zapigwa jeki:Somalia
Pakua
Vikosi vya ujumbe wa muungano wa Afrika nchini Somalia AMISOM kwa kushirikiana na vile vya jeshi la nchi hiyo SNA vinaendela na operesheni ya kuyatwaa maeneo kadhaa yaliyokaliwa na kundi la kigaidi la Alshabaab nchini humo.
Ungana na Joseph Msami katika makala inayoeleza namna vikosi hivyo vinavyoendelea kupata ushindi kwa kuvigalagaza vile vya Alshabaab na kuendelea kuyatwaa maeneo mengine nchini Somalia.