Skip to main content

Urithi wa Mandela unaendelezwa

Urithi wa Mandela unaendelezwa

Pakua

Leo Julai 18 ni siku ya kimataifa ya Mandela duniani. Mandela atakumbukwa kwa sifa nyingi na mchango wake kwa dunia. Mandela amesifika katika sio tu nchi yake lakini duniani kote kwani aliyagusa maisha ya wengi.

Basi ungana na Grace Kaneiya katika makala ifuatayo inayomulika urithi wa Mandela.

Photo Credit
Nelson Mandela akiwa Umoja wa Mataifa (Picha ya UM/faili)