Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Michezo; silaha katika kuleta amani na maendeleo:wanamichezo

Michezo; silaha katika kuleta amani na maendeleo:wanamichezo

Pakua

‘‘Michezo ni silaha katika kuleta amani na maendeleo” Haya ni maneno ya wanamichezo na wanadiplomasia waliokusanyika katika moja ya kumbi za mikutano makao makuu ya Umoja wa Mataifa mjini New York.

Ungana na Joseph Msami katika ripoti ifuatayo inayofafanua namna michezo inavyotumika kuzileta jamii pamoja hususani ni vijana.