Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Ugonjwa wa saratani waangaziwa nchini Tanzania

Ugonjwa wa saratani waangaziwa nchini Tanzania

Pakua

Jumanne ijayo tarehe Nne Februari mwaka 2014, ni siku ya saratani duniani. Maudhui ya mwaka huu ni vunja fikra potofu kuhusu saratani. Maadhimisho haya yanakuja wakati ripoti mpya kuhusu mwelekeo wa saratani duniani ikisema ugonjwa huo unazidi kuenea nchi maskini ambako tiba ni changamoto,. Halikadhalika mfumo wa maisha unadaiwa kuwa mojawapo ya sababu za kuenea zaidi kwa ugonjwa huo. Assumpta Massoi katika makala hii ameangaziaTanzania, moja ya nchi zinazoendelea.

(Assumpta PKG)