Mtazamo wa Kimataifa Habari za kiutu

Mafuriko yaathiri maisha ya raia Sudan Kusini, misaada yahitajika.

Mafuriko yaathiri maisha ya raia Sudan Kusini, misaada yahitajika.

Pakua

Mafuriko yaliyotokea hivi karibuni nchini Sudan Kusini pamoja na mambo mengine yamesababisha athari za vifo, kukosa makazi na milipuko ya magonjwa. Janga hili limelazimu ujumbe wa Umoja wa Maataifa kufunga safari kuelekea humo kwa ajili ya kutoa misaada ya dharura.

Ungana na Joseph Msami katika taarifa ifuatayo inayoangazia hali livyo nchini humo.