Neno la Wiki- "Kufadhili mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi"
Sasa tunakwenda kwa mtaalam wetu wa kiswahili juma hili ambaye ni Mwanahija Ali Juma katibu mtendaji wa Baraza la Kiswahili Zanzibar , BAKIZA anafafanua msemo usemao "Kufadhili mfadhili mbuzi binadamu atakuudhi".